Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Dah mm nilianza kufikilia hii biashara tangu mwaka Jana october nashindwa kuchukua maamuzi na kama ningekuwa na pesa basi hata kesho tunaenda kuitengeneza business plan. Ila kama umepata partner nakutakia mafanikio mema kwa sababu huku kuna pesa.
 
Tunahitaji kujoin group lipo revoked...hatuhitajiki tena au?
 
  • Thanks
Reactions: 365
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.

Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.

Wekeni namba zenu za simu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Weka mambo vizuri/Funguka zaidi ni nini kinachohitajika, Mimi nimebobea kwenye fani ya utalii.
 
Back
Top Bottom