Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Kodi haiuwi na si lazima mtu aanze kunaa mm niko krt nagonga mdogo mdogo na sasa naanza kuona mafanikio wamejitokeza wadau wa nje kuingiza mitaji. SO MWENYE WAZO HILI ENDELEA NALO
asante sana,japo itabidi tusaidiane connection za wadau wa nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana,japo itabidi tusaidiane connection za wadau wa nje

Sent using Jamii Forums mobile app
TuaSiliane niko krt kikubwa stick kwenye idea yako na mm nimeio a ni nzuri.
Kikubwa uangalie usafiri wa uhakika
Maana garama kubwa kwenye utalii ni usafiri. Labda we ua ze na kukodisha tent a kale katrela kakunenea mizigo mwenye gari awe mwingine then utakuwa hulipi kodi au uanze na magari ya majamaa na iwe kwa watalii wandani maana hayana kodi za kitalii
 
  • Thanks
Reactions: 365
safi mkimaliza CCM ina toa mikopo kwa Vijana na wakina mama... zero riba...

karibuni kwa maendeleo yetu...
Inatoa kwa maninja wa ccm au vijana wakitanzania maana kuna maeneo tumeambiwa lazima uwe na kadi huku mnasema maendeleo hayna chama
 
TuaSiliane niko krt kikubwa stick kwenye idea yako na mm nimeio a ni nzuri.
Kikubwa uangalie usafiri wa uhakika
Maana garama kubwa kwenye utalii ni usafiri. Labda we ua ze na kukodisha tent a kale katrela kakunenea mizigo mwenye gari awe mwingine then utakuwa hulipi kodi au uanze na magari ya majamaa na iwe kwa watalii wandani maana hayana kodi za kitalii
Nashukuru sana,Samahani Krt ni nini,sijaelewa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu me nimekosa mtaji tuu ila naamini km upo siriasi kwenye biashara ya utalii na una network nzuri ukipata agent wa 4 tuu nje ya nchi we ni bilionare mkubwa sana.

Unakua unauza package nzima hadi flight. makampuni mengi ya wazungu yanaanza taratibu baada ya muda yanakua yamefika mbali.

One night accomodation ya Serengeti tented lodge fullbody inafika 200 USD

Sent using Jamii Forums mobile app
A to z ya biashara unaifahamu vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili wazo n zuri ikiwa utapata mawakala nchi zilizoendelea ukisema utawategemea wabongo itakuchukua miaka kadhaa kupiga hatua. Nilibahatika kupata uzoefu wa kutosha katika sekta hii kwa zaidi ya miaka mitano na ninaweza kuwaonesha (GAP) ambalo mnaweza kulitumia vizuri na mkapiga hatua ikiwa hamtaendekeza tama za utajiri wa haraka.
Mimi ni mdau wa maendeleo napenda sana kuona mwenzangu akisogea Mbele,Kupiga hatua hivyo nawakaribisha kwa yeyote mwenye swali anaweza kuuliza nikamsadia kwa kidogo ninachofahamu. Ahsanteni.
Je mwanzo unaweza kuanza na mtaji na leseni kiasi gani na vitu gani vinahitajika kwa mwanzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom