isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Haha Aisee upo vizuri kwa Kiitaliano na Kifaransa? 😃Kuna kitu unakijua mkuuuu ndio maaana umeuliza lacasa de papel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha Aisee upo vizuri kwa Kiitaliano na Kifaransa? 😃Kuna kitu unakijua mkuuuu ndio maaana umeuliza lacasa de papel
Ni kweli link iko revoked tayariHii Link najiunga inagoma...link imekuwa Revoked tayari.
HahaMsitusahau na wafanyakazu hapa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haha haah dah jf bwanaMkuu mi ningependa tu kujua kama una undugu na Ontario
Maendeleo hayana chama
Jenga AirBnB sio hotel.Eneo gani naweza jenga kahotel kadogo kwaajili ya watalii, i mean sehem ambapo bado fursa hiyo ipo
Mkuu idadi iliyohitajika ilitimiaTunahitaji kujoin group lipo revoked...hatuhitajiki tena au?
Tayari nimo humoJenga AirBnB sio hotel.
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.
Wekeni namba zenu za simu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app