Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

Wakuu me nimekosa mtaji tuu ila naamini km upo siriasi kwenye biashara ya utalii na una network nzuri ukipata agent wa 4 tuu nje ya nchi we ni bilionare mkubwa sana.

Unakua unauza package nzima hadi flight. makampuni mengi ya wazungu yanaanza taratibu baada ya muda yanakua yamefika mbali.

One night accomodation ya Serengeti tented lodge fullbody inafika 200 USD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahitaji watu wa criteria zipi? Mbona wazo lako ni zito ila umeliandika kiwepesi sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote jitahidi kurahisha mambo,sekta ya utalii haina vigezo vyovyote ili uweze kuimudu,inahitaji kua tayari na kua na muda pengine na kujifunza namna nzuri ya kutoa huduma za kitalii!

Kwahiyo hamna vigezo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko vizuri sana,utalii ni biashara nzuri sana,Australia 75% wamejiajili kwenye sekta ya utalii,na Australia kwasasa duniani ndo inaongoza kwa utalii,na ukiangalia ina vivutio ambavyo hata sisi tumewazidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baba Capital na kodi zitakutoa out. ila all the best
Inabidi tuanze na hizi zinazohitaji mtaji wa kawaida,i dont think if campsite needs tall capital,

Swala la kodi nahisi linazungumzika na wahusika, tatizo kubwa viongozi wengi wa serikali hawana exposure kabisa na maswala ya biashara,ila utalii tanzania umedumaa sana,tunazidiwa na hata Rwanda nchi ambayo kivutio kikubwa ni mafuvu ya mauaji ya kimbali!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji kama kiasi gani
 
Mkuu mi ningependa tu kujua kama una undugu na Ontario

Maendeleo hayana chama
 
Watu wa mazingira hasa ecologyst ndio wanzinguaga hizo mambo utaingia gharama hizo za kutafiti impact ya ujemzi wa hiyo camp mpka ipitishwe utashika adabu yangu na wanaqeza kukulazimisha uajiri ecologist tena mbobezi hapo ndio utakapoona ugumu qa kuwekeza hizo mambo kama una mtaji wa kununua mahema tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…