Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
- #221
Mkuu habari
Tafadhali hiki kilimo cha green house kinawezekana kufanyika maeneo ya Dar es salaam, Kibaha au Bagamoyo?
Kinafanyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu habari
Tafadhali hiki kilimo cha green house kinawezekana kufanyika maeneo ya Dar es salaam, Kibaha au Bagamoyo?
Kwanza kabisa nikupongeza kwa moyo wako wa kutaka kusaidia vijana wa nchi hii kujikomboa kiuchumi mimi leo ndo nimeiona hii thread, na imenivutia kwelikweli, hapa nina maswali kadhaa nahitaji kukuuliza kwanza kabisa mimi nina mtaji wa mil 1.5 nilikua na mpango wa kununua boda boda lakn nimeona zimekua nyingi mjini, vipi huo mtaji unaweza kutosha mpaka kuanza kuvuna maji yapo ya kutosha kabisa.Nashukuru
Hapo kaka umenena. Changamoto ya wajasirialami wengi ni kukosa uthubutu. Usipothubutu utaendelea kubaki palepale.Jana nilikuwa naongea na watu fulani baada ya kuwapa mafunzo haya na ikaibuka hoja nzito kuwa baadhi ya watu tz wanakiogopa kilimo hiki, infact kilimo cha kisasa kwa ujumla kwa kuwa kinachukuliwa ni kazi inayolipa ila ni kwa ajili ya kikundi cha watu wachache wanaojiamini na kuamua kuingia kwenye kilimo hicho ambapo watu waliobaki wanaogopa. Hii inafanya idadi ya wanaofanya kilimo cha kisasa kuwa wachache.
Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa kushindwa kufanya maamuzi kwa watu kunawafanya miaka nenda rudi watu wawe pale pale wakati wangeamua kufanaya maamuzi leo hii ili kwamba miaka miwili mbele wajikute wako hatua mbele in development
Habari za asubuhi.
Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.
0758 308193
Galore vipi kuhusu kuchimba kisima ulifanikiwa?na je gharama zikoje kwa huko vigwaza?Kisima kuchimba bei nacho
Nina swali hapo kwenye gharama za madawa na mbolea je ni cost kwa mara zote ambazo umetumia mwanzo mpaka mwisho au umeweka ya mara moja? Maana michanganuo tunapata mingine inakatisha tamaa hapa naona below laki 2 lakini pia wengine wanatuambia usiwe na chini ya 3M per heka yan mpaka unahisi kushindwa, tusaidie kwa hili mkuu maana tupo kwenye maandalizi wengineKuna jamaa waliniandikia na kunipigia simu wakiniomba niwape mchanganuo wa kilimo cha tikiti kwa wale wasio na uwezo wa kununua zile mbegu za gharama kubwa za tikiti za hybrid. Wanaulizia itakuwaje km wakitumia mbegu za kawaida.
Kwa ushauri wamgu tumia mbegu inaitwa Crimson sweet kutoka kampuni inaitwa Pop Friend na ni ile ya zebra. Jamaa wanasema wataweza kuweka Miche buku. Idadi hiyo ya Miche unaweza weka katika eneo la nusu eka. Pia tumia tekniki ya kuweka watermelon seed dabo ktk shimo moja ili upate Miche 2000. Ukiirunza vizuri unaweza pats tikiti 2 kwa mchr. So kila tikiti ukiliuza kwa bei ya sasa Soko linapoelekea kuwa nzuri ambayo kwa sasa ni 2000 itakuwa 2000 x 2000 = 4,000,000 baadaya miezi 2 ya ukulima wako. Utatumia mtaji watermelon seed 13,000 + madawa 27,000 + mbolea 102,000 = jumla 142,000. Hapo na assume Maji unayo na ni nje ya mshahara wa mfanyakazi
Nina swali hapo kwenye gharama za madawa na mbolea je ni cost kwa mara zote ambazo umetumia mwanzo mpaka mwisho au umeweka ya mara moja? Maana michanganuo tunapata mingine inakatisha tamaa hapa naona below laki 2 lakini pia wengine wanatuambia usiwe na chini ya 3M per heka yan mpaka unahisi kushindwa, tusaidie kwa hili mkuu maana tupo kwenye maandalizi wengine