Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
-
- #21
Nimepata hamasa ya kufanya hichi kilimo cha nyanya. Ningependa kujua kama nyanya ili kustawi zinahitaji udongo wa aina gani? Eneo kama Kibaha is it favourable?
swala la udongo,( mfano maeneo ya kigamboni), swala la mbolea na madawa kwa ajili ya wadudu??? ila big up sana kaka Biashara2000
Hamna kitu hapo longo longo tu tuoneshe shamba bana aah dissapointing,wewe unatangaza biashara ya nyanya sio kumsaidia mkulima
Mkuu biashara2000 inachukua muda gani hadi kuvuna hiyo mbegu???
Mkuu Biashara 2000.
Ukiwa na shamba la greenhouse la 8×15 ambalo approximate yake ni miche 400. Unaweza ukavuna ndoo au tenga ngapi za nyanya kwa mwezi au kwa wiki.???
Kwa utafiti nilio fanya tenga moja ni sawa na ndoo tatu.
Mkuu Biashara 2000.
Ukiwa na shamba la greenhouse la 8×15 ambalo approximate yake ni miche 400. Unaweza ukavuna ndoo au tenga ngapi za nyanya kwa mwezi au kwa wiki.???
Kwa utafiti nilio fanya tenga moja ni sawa na ndoo tatu.
Mkuu bado sijawa na shamba ila nipo kwenye maandalizi ya kupata shamba na kufanya kilimo hiki.
Nategemea kupata shamba kibaha miembe saba.
Nimekuwa nikipokea simu nyingi sana watu wakiulizia kuhusu ule mfano niliotoa hapo juu kuhusu ni jinsi gani unaweza pata laki saba kwa mwezi. Swali hasa limekuwa likielekezwa kwenye mtaji. Wanaulizia ni mtaji kiasi gani utauhitaji wakati unaanza. Kama eneo lako ushafanya utaratibu wa kupata maji tuseme hauna maji ktk eneo lako ia unaletewa na mkokoteni na kuyahifadhi kwenye pipa, Zaidi ya hapo utahitaji sh. 150,000 ambayo watu wengi wanaweza kuimudu
Safi sana Biashara2000.
Sio nyanya tu kuna mazao mengi unaweza kuyapanda kwenye greenhouse na yakakuletea faida.