Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

nina shamba robo heka, lipo kasulu, ni kwenye makazi ya watu. ninawezaje kuanzisha greenhouse?

1. nahitaji kujua gharama ya kisima bomba kabisa
2. nahitaji kujua gharama za ujenzi wa greenhouse hadi kuwa tayari kwa kilimo mfano m15*30 ukubwa wa shamba.
3. makadirio ya mavuno kwa msimu ni kiasi gani

Kuhusu kujenga greenhouse katika eneo la makazi ya watu, cha msingi ni kuhakikisha tu usalama unapatikana

  1. kwa dar ni mil. 3 sasa sijui kwa kigoma ni kiasi gani
  2. gh inayotosha eneo lote na kujaa ni mil 15.6
  3. Mil 18 kwa mwezi na utaendelea kuvuna kwa miezi nane
 
Kuna mahali umesema maji ya chumvi sio mazuri, nina kisima kiko Kisarawe na kina chumvi kidogo na nilikua najipanga kutumia maji hayo kwa umwagiliaji wa mboga mboga na matunda. Hebu nisaidie kwa nini hayafai? Ni kwa baadhi ya mazao tu au hata mchicha, bamia n.k?
 
Maji ya chumvi hufanya mazao yako yawe madogo. Kama unategemea nyanya zako ziwe kubwa km za kwenye hiyo video yangu basi maji ya chumvi yatakuangusha. Unachoweza ni kufanya ni kuchanganya na maji yasiyo na chumvi nusu kwa nusu ns hii inasaidia
 
Nashukuru sana bw Biashara2000 kwa mafunzo uliyonitumia siku ile na kesho yake tu nilipanda zile mbegu. Baanda ya siku tatu miche ikatoka na nikapulizia ile mbolea ya Polyfeed, bwanawee ni noma, maana ndani ya siku tatu tu miche ikafika urefu mpaka magotini. Sasa naanza kuweka zile fito nyembamba km za kwenye video yako ila ntaomba msaada wako kidogo. Ntakupigia kaka usinichoke
 
Usijali kaka julioo maana kwa mafunzo niliyokupa umepata ushauri wa bure kwa kipindi mpaka utakaposimamisha miche
 
Mkuu hata kutaja iyo mbegu unayotumia nayo inabidi tukutumie ako ka elfu ishirin?
 
Ngoja nikushauri. Hako ka elfu ishirini kako mbona unaweza tu kafanyia kazi tu na ukapata mafanikio tu. Nunua mbegu inaitwa Tanya inauza 5,000 na dawa ya megacine then anza kulima kaka. Mbona inakutosha sana

Mimi niko maeneo ya horohoro mkoani Tanga mpakani kwenda Mombasa, nimechimba lambo hivyo ninatumia maji ya mvua ninayovuna wakati wa mvua nyingi, je mbegu yako inafaa eneo hilo?
 
Mimi niko maeneo ya horohoro mkoani Tanga mpakani kwenda Mombasa, nimechimba lambo hivyo ninatumia maji ya mvua ninayovuna wakati wa mvua nyingi, je mbegu yako inafaa eneo hilo?

Inafaa katika eneo lako pia
 
Ngoja nikushauri. Hako ka elfu ishirini kako mbona unaweza tu kafanyia kazi tu na ukapata mafanikio tu. Nunua mbegu inaitwa Tanya inauza 5,000 na dawa ya megacine then anza kulima kaka. Mbona inakutosha sana

mkuu sijaelewa kitu hapo, hiyo Tanya ndio mbegu unayotumia hata wewe kwenye hiyo greenhouse yako?? mana nijuavyo Mimi Tanya sio hybrid...
 
mkuu sijaelewa kitu hapo, hiyo Tanya ndio mbegu unayotumia hata wewe kwenye hiyo greenhouse yako?? mana nijuavyo Mimi Tanya sio hybrid...,
 
mkuu sijaelewa kitu hapo, hiyo Tanya ndio mbegu unayotumia hata wewe kwenye hiyo greenhouse yako?? mana nijuavyo Mimi Tanya sio hybrid...

Kuna watu wengi wananipigia wakisema kuwa hawana uwezo wa kulima kilimo cha kisasa. So huwa nawapa ushauri wa bure ili nao waweze kulima na kupata mapato kwa mtaji wa chini ya 15000 na hichi ndio nimekiongelea hapo kwamba unawezatumia tanya.
 
Habari za asubuhi.

Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.

0758 308193

Naomba kujua hii green house ni kwaajili ya Kilimo cha nyanya tu?.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikupe mfano. Tuseme unaishi katika nyumba ambayo kwa upande wa nyuma una eneo ambalo lina ukubwa wa upana hatua tano na urefu vile vile. Hivyo 5 x 5 = 25 square meter. Katika kila square meter 1 unapanda miche 4 hivyo x 25 ni miche 100. Kila mche unakupa kilo 15 yaani sawa na ndoo moja na nusu ya nyanya kwa mwezi. Bei ya shambani ukiamua kufanya mia tano x 15 ni sh. 7,500 kwa kila mche kwa mwezi. 7,500 x miche 100 = sh. 750,000 kwa mwezi. Je kwa miezi nane ya uvunaji itakuaje? 6,000,000. Na hii ni bila greenhouse

Je utaendelea kunyanyaswa na bosi wako ulipoajiriwa na kuendelea kumtajirisha mpaka lini?

Good idea
 
Back
Top Bottom