Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Week kesho najiandaa kuja dar
Nitakuwa mgeni wako maana ninaeneo hapo gogoni kiluvya kama kuna uwezekano ufike shambani kwangu
 
Habari za asubuhi.

Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.

0758 308193

Kitufe cha like hakipo ila hongera sana
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi.
Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.

0758 308193

[h=3]Mkuu Albert , Thanks for this!.[/h]P.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana bw Albert kwa ushauri wako nimeweza kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya huku songea kutumia shamba langu kuelimisha wanafunzi wa vyuo. Na ntakuwa nalipwa
 
TANGAZO: Tarehe 2 Dec kutakuwa na semina ya kilimo cha nyanya katika lile shamba langu unaloliona kwenye hiyo video hapo juu. Nyote mnakaribishwa
 
Hebu nielekeze jinsi ya kuubadilisha mpira wa kawaida wa kumwagilia ili ufanye kazi ya kumwagilia kwa matone
 
Biashara2000 binafsi hujanitandea haki kwa kuwa mpaka sasa hujanitumia video ya shamba lako pamoja na kukutext mara mbili kukumbushia!
 
Last edited by a moderator:
Wiki ijayo ntafundisha humu bure jinsi ya kutengeneza system yako ya kupulizia dawa bila ulazima wa kuwa na mfanyakazi shambani kwa ajili ya kazi hiyo
 
Mbegu za Hybrid za Nyanya na Watermelon zinapatikana:

1. Julia Tomato Hybrid - Mbegu 1000 Tsh. 135000 na inatoa tani 122 kwa eka

2. Bob Watermlon Hybrid Tsh. 125000 na inatoa miche 2500 kwa eka
 
Mbegu za Hybrid za Nyanya na Watermelon zinapatikana:

1. Julia Tomato Hybrid - Mbegu 1000 Tsh. 135000 na inatoa tani 122 kwa eka

2. Bob Watermlon Hybrid Tsh. 125000 na inatoa miche 2500 kwa eka

Habari kaka. Tunaomba uturushie video nyingine ya nyanya zako tuzione zenyewe kwa ukubwa huo kwenye mche. Kuona ni kuamini mkuu na kuamini hukufanya kuchukua hatua kwa kujua hii inawezekana. Wasalam
 
Back
Top Bottom