Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua hii green house ni kwaajili ya Kilimo cha nyanya tu?.
Vipi kuhusu soko la nyanya
Week kesho najiandaa kuja dar
Nitakuwa mgeni wako maana ninaeneo hapo gogoni kiluvya kama kuna uwezekano ufike shambani kwangu
Habari za asubuhi.
Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.
0758 308193

Inafaa katika eneo lako pia
Upo vizuri Mkuu ntakutafuta..thanks
Biashara2000 binafsi hujanitandea haki kwa kuwa mpaka sasa hujanitumia video ya shamba lako pamoja na kukutext mara mbili kukumbushia!
Mbegu za Hybrid za Nyanya na Watermelon zinapatikana:
1. Julia Tomato Hybrid - Mbegu 1000 Tsh. 135000 na inatoa tani 122 kwa eka
2. Bob Watermlon Hybrid Tsh. 125000 na inatoa miche 2500 kwa eka