Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
- #61
nina shamba robo heka, lipo kasulu, ni kwenye makazi ya watu. ninawezaje kuanzisha greenhouse?
1. nahitaji kujua gharama ya kisima bomba kabisa
2. nahitaji kujua gharama za ujenzi wa greenhouse hadi kuwa tayari kwa kilimo mfano m15*30 ukubwa wa shamba.
3. makadirio ya mavuno kwa msimu ni kiasi gani
Kuhusu kujenga greenhouse katika eneo la makazi ya watu, cha msingi ni kuhakikisha tu usalama unapatikana
- kwa dar ni mil. 3 sasa sijui kwa kigoma ni kiasi gani
- gh inayotosha eneo lote na kujaa ni mil 15.6
- Mil 18 kwa mwezi na utaendelea kuvuna kwa miezi nane