Tourism Management

Tourism Management

Damalu

Senior Member
Joined
Jul 26, 2009
Posts
120
Reaction score
63
WanaJF mie natafuta kazi nimesoma tourism management nina zaidi ya miaka miwili home naomba msaada ndugu zangu maisha ya huku mtaani yanachosha acheni kabisa.....wenu katika bwana
 
Kwani wakati unaisoma hyo corz ulikua na plan gan labda,au ndio ili tu nawe uonekane ulipita chuo kikuu?
 
Kwani wakati unaisoma hyo corz ulikua na plan gan labda,au ndio ili tu nawe uonekane ulipita chuo kikuu?

Hilo sio swali, mpe ushauri au msaidie. Kama ndio post aliyopata aiache kwa kuwa hajui itakuwaje mbele ya safari? Tuwe waungwana.
 
WanaJF mie natafuta kazi nimesoma tourism management nina zaidi ya miaka miwili home naomba msaada ndugu zangu maisha ya huku mtaani yanachosha acheni kabisa.....wenu katika bwana

Pole mkuu, miaka miwili mingi. Bahati mbaya ka bishara kangu hakajachanganya ninge ku hire. But let us pray.
 
Jamani acheni kutoa kejeli, kauli kam hizi zinaonyeshwa jinsi mnavyosahau mlikototoka na mlikopita, au hamkuwahi kupitia basi bahati yenu!!! lakini ndungu zangu nyie sikieni tuu kukaa mtaani kutafuta kazi, hizo frustrautations mhadithiwe!! ndo maana mnakurupuka kupost.

Kama kuna mtu aliye na info amsaidie!!! naomba kukushauri ndugu yangu huenda ni mwanzi wa kukufanya kuwa tajiri, ukaangalia uwezekano wa kuwa mjasiriamali, angalia side ya tourism industry inayokuwa vizuri uone ni wapi unweza kufit in!!! kama vipi piga hata tofali utachomoka tu ndugu yangu. Haya maajira wakati mwingine yanatulemaza sana!!! kubishana na mshahara kila mwisho wa mwezi, ucione watu wanafanya kazi za kuajiriwa wana raha waone tuu wanacheka wakiwa na wenzao wakiwa wenyewe mambo sio shwari!!!! tuangalie pia na uwezekano mwingine
 
Kwani wakati unaisoma hyo corz ulikua na plan gan labda,au ndio ili tu nawe uonekane ulipita chuo kikuu?

Upo empty kweli, hivi wewe ulivyokuwa unasoma ulikuwa unajuwa nini utafanya??au umesoma wewe??
 
Lakini sometime m2 unapokuwa unasoma, tuwe 2naangalia ki2 gani kitafuata baada ya kumaliza hiyo kozi or what is needed to my society .................kwani hata kama post yako ilikuja hiyo c unaweza kubadilisha kwani hiyo nipingu ya maisha ishindikane.Acheni hizo bwana!!!
 
jaman hapa sio post gan kasoma maana wote wanahangaika au nyie mlitaka asome course gan ambayo haina tatizo la ajira?
 
nimeona kazi hiku wametangaza hotel moja inaitw fm hotel iko njombe ngoja nikipata box lao nikutumie utume vyeti ndio infunguliwa
 
kiukweli tanzania kumekuwa ni kugumu sana kupata kazi sasa hivi haijalishi coz gani au nini waliobaki kwenye urahisi wa kupata kazi ni madaktari na waalimu tuu wengineo wote tunakubwa na challenge hii ya kazi. Kwanchi zilizoendelea secta ya utalii au niseme tourism industry na hospitality ndio inayoajiri watu wengi zaidi ya secta nyingine duniani kasoro tanzania nadhani kwahiyo kunilaumu kusoma coz isiyoeleweka mnafanya makosa kwasababu haieleweki tanzania tuu nchi nyingine inaeleweka zaidi na zaidi hata jirani zetu kenya nao wapo juu kwenye swala hili sema kwa nchi yetu hapa secta za utalii ni chache na wenye nazo wanataka watu wa diploma that alll,, na kumbuka coz inasema management na sio tourism peke yake nikiwa nasoma nililenga kufanya kazi za managerial na sio utalii peke yake na kama utalii basi iwe ni jinsi ya kukuza utalii wetu wa ndani ya nchii hii...... naomba msinishambulie na kwa nini nilisoma coz hii tafadhali

nashukuru kwa ushauri wa kufyatua tofali mkuu hiyo nimeshaiconsider kwa sana tuu natafuta tuu eneo kwa sasa ila maeneo ya bunju naamini utakuwa mteja wangu wa kwanza na mwenye eneo maeneo ya bunju for rent plz naomba msaada ila liwe na maji tafadhali

nawashukuru sana wanajamii kwa mawazo na msaada
 
Toa details zaidi basi, maana Tourism ni sector kubwa na ina mambo mengi ndani yake. Una uzoefu ktk field gani, umesomea nini na wapi, ect. Unajua hizi sector nyingine sio sawa na kusomea CCP kwamba inajulikana kazi yako au uzoefu wako upo limited .

I can advice you, na kukupa mwanga kama nikijua hizo details.
 
Back
Top Bottom