MillionaireMan
Senior Member
- Jul 20, 2022
- 156
- 237
Google google googleHabari kwenu Wazeeiya,
Kama kichwa cha habari kilivyo. Naomba kupata ujuzi, utaalamu, experience mlizonazo katika biashara hii.
Kwa ufupi tu, ni camp kwaajili ya watalii.
Majibu yenu naomba yawe kwenye vidokezo vifuatavyo;
1. Mazingira watalii wanapenda kuwa kwenye camp.
2. Experience zenu kwenye uendeshaji na faida.
3. Changamoto zake
4. Any pitfall, or caveats to avoid .
5. Mchango wowote nitashukuru
Nawatakia kheri
Zipo taarifa nyingi mtandaoni ambazo unaweza kuanza nazo. Ila kwa kifupi biashara za Sekta ya Utalii zinalipa, japokuwa mwanzoni utahitaji kuwekeza miundombinu na vifaa. Pia itapendeza ukisimamia wewe mwenyewe ili kudhibiti ubora wa huduma zinazotarajiwa. Kila raheliHabari kwenu Wazeeiya,
Kama kichwa cha habari kilivyo. Naomba kupata ujuzi, utaalamu, experience mlizonazo katika biashara hii.
Kwa ufupi tu, ni camp kwaajili ya watalii.
Majibu yenu naomba yawe kwenye vidokezo vifuatavyo;
1. Mazingira watalii wanapenda kuwa kwenye camp.
2. Experience zenu kwenye uendeshaji na faida.
3. Changamoto zake
4. Any pitfall, or caveats to avoid .
5. Mchango wowote nitashukuru
Nawatakia kheri
Kwa kulipa kweli inalipa ukianza kupata jina.Zipo taarifa nyingi mtandaoni ambazo unaweza kuanza nazo. Ila kwa kifupi biashara za Sekta ya Utalii zinalipa, japokuwa mwanzoni utahitaji kuwekeza miundombinu na vifaa. Pia itapendeza ukisimamia wewe mwenyewe ili kudhibiti ubora wa huduma zinazotarajiwa. Kila raheli
Google google google
Kwa kulipa kweli inalipa ukianza kupata jina.
Shida ni kwenye starting capital,unahitajika uwe na hundreds of milions Tanzanian shilings.
Gharama za kulipia kitalu kwa Tanapa ni kubwa sana sio mchezo aisee.
Na baada ya hapo kuna kodi zao za kila mwaka na zenyewe ni kubwa mno lazima zikutoe jasho na ni ngumu sana kwa Mtanzania wa kawaida.
Ndio maana watanzania wengi wanaotaka kujiingiza kwenye biashara ya utalii wanadili na kuwasafirisha tu watalii kuwapeleka porini kisha kuwakabidhi wenye camps kisha wanarudi town na magari yao,hii ni rahisi biashara rahisi kuanzisha kwa sababu hata kama hauna umiliki wa magari kuna kampuni zingine ambao hao kazi zao ni kukodisha magari tu kwa tour/safaris agents.
Mimi si mtaalamu sana wa haya mambo ila nilipata mwangaza baada ya kipindi fulani kwenda kufanya kazi kwenye Safari Camps.
Mimi ulivyosema tourists camp nikajua ni camp ya mbugani.Boss, Nashukuru kwa mchango wako mzuri. Ninayo nafasi maeneo ya Atown. Ni madhari nzuri sana.