Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 894
Labda tukumbushane tu kwamba jama, tuka hakikishe vile vitambulisho vya vyetu vya kupigia kura vipo sehemu nzuri, na safari hii tusikae majumbani kwa kusema eti hata tupige kura wataiba, twende tupige kwa wingi kwani hata wakiiba kama tofauti ni kubwa watagota!
Hii ndiyo njia pekee ya kujikwamua na utawala dhalimu na fisadi, ambao kwao mtu mwemma mpenda nchi ndiye wanamuona adui wa nchi!
talking of voting, watu wengi sana hawataweza kupiga kura 2010 1. wengi wamehama kutoka walikojiandikisha 2. waatu wamepoteza vitambulisho vyao and didnt even bother to register upya 3. kuna wale wanaosema why vote hakuna haja kwa sababu habari ni ile ile.
ingekuwa vyema sana kama watu wangewza kupiga kura kokote walipo. hapa tusingekuwa na kisingizio cha kutokupiga kura.