Tovut i(website) ya Ambwene Yessaya

we acha uvivu wa ku-google kila kitu kipo kule kwa shida yako..
 
aliye kuambia kila kitu kipo google nani,usikariri wewe ***** unabahati jf kuna ban
We mshamba nini kwani tunazungumzia kila kitu au Website ya AY??,,ingia google type AY utapata kila kitu kinachomhusu mpaka hiyo Site.Kwa jinsi unavyojibu ushaeleweka ni mtu wa aina gani,,hahaha Wewe ni mshamba mmoja kati ya kadhaa mnaobahatisha maisha hapa mjini.Jipange
 

poa shoga la wazungu
 

poa shoga la wazungu

Tuendeleeni kujenga nchi washkaji,ugomvi hauna maana AY mwenyewe na hao wenye Google wakina Larry Page wanakula raha huko waliko.
 
Tuendeleeni kujenga nchi washkaji,ugomvi hauna maana AY mwenyewe na hao wenye Google wakina Larry Page wanakula raha huko waliko.

poa ray05 thanks kwani nimeipata hiyo site,labda hawakujua kua nlisha isearch before na maneno yasiyo match.anyway lemme be outta here
 
Last edited by a moderator:
poa shoga la wazungu
Hata biblia yenyewe imesema aliwazalo mjinga ndio linalomtokea sasa wewe waza waza tu hayo Mambo uone mwisho wake na siyo kuwaza tu,,Kuna mstari mwingine unasema Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa rohoni,,Sasa mimi nafuata maandiko hakika wewe utakua siyo mzima,,hahahaha Eti anyway lemme be outta here lol!!! We jamaaa hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…