john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
wandugu mwenye kuijua tovuti ya msanii ay aiandike hapa tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha Mkuu kweli nimeamini msemo wa wazungu usemao COMMON SENSE IS NOT UNIVERSALwe acha uvivu wa ku-google kila kitu kipo kule kwa shida yako..
we acha uvivu wa ku-google kila kitu kipo kule kwa shida yako..
hahaha Mkuu kweli nimeamini msemo wa wazungu usemao COMMON SENSE IS NOT UNIVERSAL
Ndo maana yakehahaha Mkuu kweli nimeamini msemo wa wazungu usemao COMMON SENSE IS NOT UNIVERSAL
We mshamba nini kwani tunazungumzia kila kitu au Website ya AY??,,ingia google type AY utapata kila kitu kinachomhusu mpaka hiyo Site.Kwa jinsi unavyojibu ushaeleweka ni mtu wa aina gani,,hahaha Wewe ni mshamba mmoja kati ya kadhaa mnaobahatisha maisha hapa mjini.Jipangealiye kuambia kila kitu kipo google nani,usikariri wewe ***** unabahati jf kuna ban
We mshamba nini kwani tunazungumzia kila kitu au Website ya AY??,,ingia google type AY utapata kila kitu kinachomhusu mpaka hiyo Site.Kwa jinsi unavyojibu ushaeleweka ni mtu wa aina gani,,hahaha Wewe ni mshamba mmoja kati ya kadhaa mnaobahatisha maisha hapa mjini.Jipange
We mshamba nini kwani tunazungumzia kila kitu au Website ya AY??,,ingia google type AY utapata kila kitu kinachomhusu mpaka hiyo Site.Kwa jinsi unavyojibu ushaeleweka ni mtu wa aina gani,,hahaha Wewe ni mshamba mmoja kati ya kadhaa mnaobahatisha maisha hapa mjini.Jipange
poa shoga la wazungu
merci beaucoup
Tuendeleeni kujenga nchi washkaji,ugomvi hauna maana AY mwenyewe na hao wenye Google wakina Larry Page wanakula raha huko waliko.
Hata biblia yenyewe imesema aliwazalo mjinga ndio linalomtokea sasa wewe waza waza tu hayo Mambo uone mwisho wake na siyo kuwaza tu,,Kuna mstari mwingine unasema Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa rohoni,,Sasa mimi nafuata maandiko hakika wewe utakua siyo mzima,,hahahaha Eti anyway lemme be outta here lol!!! We jamaaa hahahapoa shoga la wazungu
ay.co.tzwandugu mwenye kuijua tovuti ya msanii ay aiandike hapa tafadhali