Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Acha uswahili wa Kizimkazi na KMKM, nunua bando, inafungukaNajaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia.
Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC eye au?