Tovuti ya BBC Swahili imefungiwa Tanzania

Najaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia.

Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC eye au?
Acha uswahili wa Kizimkazi na KMKM, nunua bando, inafunguka
 
VPN imekuwa mkombozi wa wanyonge!

Napata picha siku zijazo...kila tovuti itakuwa built-in na VPN Ndani yake!... kama zilivyo baadhi ya browser kama operamini n.k... siku si nyingi hili litawezekana.
Naamini ndiko tunaelekea Mkuu.
 
Najaribu kuperuzi wavuti wa BBC Swahili ila siwezi kuufikia, Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio ila baada ya kutumia vpn nimeweza kuufikia.

Swali kwa TCRA: Je mmefungia baada ya repoti ya BBC eye au?
Kama ni kweli imefungiwa basi TCRA wamefanya kazi nzuri sana ya kupongezwa. Amani ya nchi ilindwe kwa wivu mkubwa. Hakuna kubembeleza wanaharakati mavi mavi.
 
Kiongozi yoyote wa nchi yao akutane na mawaziri pacha halafu waripoti. Urafiki utarejeshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ