FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Kwani mwananchi inamilikiwa na nani? jamani tutafakari kidogo kabla hatujahitimisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona wataalam wa IT vipi web ya Mwananchi? mnaweza kutuhabarisha nini kinaendelea au ni matatizo ya kiufundi tu? asanteni
Iko OK kabisa ila mwambie Admin abadili hii kitu ameiweka chini upande wa kushoto ina link ambayo inarahisha kazi kwa anayetaka kuharibu.Kwani imekuwaje? mbona mie naipata fresh? jaribu tena huenda lilikuwa tatizo la muda tu ama huko kwako!
Hapana, ntaongea na Webmaster ajaribu kubadili vitu kadhaa. Kuna makosa madogo ambayo yanatoa mwanya kwa hawa jamaa kudumbukiza virus kwenye database yao. Kwa sasa jamaa kalala, nitajaribu kuwasiliana naye aiweke offline kwanza kisha arekebishe kila kitu web ikiwa offline ndipo irejee.Yes, Mwananchi ina virusi. Lakini naona kama McAfee inavishika kirahisi tu. Kwangu ilivikamata. Hivi kwa nini Mwanachi inaandamwa vile? Siku chache zilizopita ilikuwa hcaked mpka ikazimika. Sasa tena sijui haya mavirusi nayo yapandikizwa.