Tovuti ya TCU iko hewani sasa

Tovuti ya TCU iko hewani sasa

kitu hiki hapa chin ndo muhimu....ambacho had sasa hakijaachiwa...

cas.tcu.go.tz/2/admitted_applicants.php
 
nimelog in...nlishachaguliwa lakini apa inaonyesha in progress....kiufupi hamna jipya
 
ni kama dakika 30 na... zimepita tangu ikubali, ila profile inasoma IN PROGRESS!!! Wana utani na nani hawa jamaa?
 
Mambo ya kitoto kwa mkubwa kumletea mkubwa mwenzake katika mazingira ya kikubwa ni dharau tosha kabisa..
 
Mi bando hii ikiisha sina tena hela jamani, na nimejiunga iishe saa 12 jioni mida ya kufunga maofisi yao.Sijui ntafanyaje???
 
nimelog in...nlishachaguliwa lakini apa inaonyesha in progress....kiufupi hamna jipya

Hii alama nyeusi ina maanisha nini?

Course ya kwanza imewekewa black halafu zinazofuata ziko na blue!!
 
Back
Top Bottom