Tovuti ya Wizara ya Elimu yafungiwa... Kisa hawalipi gharama za uendeshaji!

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,736
Kama ilivyokuwa kwa website ya(dullonet) (Netfirms | This account has been suspended) ilivyofungiwa na netfirms ndivyo ilivyo hata sasa kwa tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tanzania imezuiliwa na haifunguki sababu kuu ni hii
This account has been suspended.

Either the domain has been overused
, or the reseller ran out of resources.
Kwa kuprove bonyeza hapa : http://www.moe.go.tz/

Kwa haraka haraka sababu hiyo kwenye blue sio ya kweli maana ingekuwa hivyo kama wangekuwa wamepost matokeo ya Form IV kitu ambacho bado. Ukweli ni kwamba wame run out of resources. Hii ina maana Web host kawakatia huduma. Wizara haina fedha hata ya kulipia website.

Imani yangu wakijiona hapa watashtuka. Pia inawezekana imefungwa ili wadau wasiweze kupata mtaala wa Elimu ambao Kawambwa aligoma kumpatia ndugu Mbatia. Hii nchi ni ya aina yake.
 
data fulani ndio kitu gani.
Yani hata data ni siri....hazina jina.

Basi waambie waingize education policy. Kwa nini waliiondoa kwenye website tangu 2008?
yaani nakusudia ukiingiza data kunye web; wakati mwengine inabidi uzuie kwana halafu ukimaliza ndo uaachie.
 
yaani nakusudia ukiingiza data kunye web; wakati mwengine inabidi uzuie kwana halafu ukimaliza ndo uaachie.

Mkuu Betlehem kuna wakati kama unakuwa na akili ya kufikiria bila ya miwani.. na wakati mwingine unarudishiwa miwani mikubwa kiaci unashindwa kufikiria kwa uwezo wako.. Hapa ci pa kutetea.. inachukua muda gani ku-post data kwa site..? Huu ni uzembe ambao haupacwi kuvumiliwa wala kutetewa.. Period..
 
Vitu vingine huwa sio vya kudhulumu sasa hii si aibu!!!!!!!!?. Hapa utaaambiwa Cheque bado haijasainiwa ili web hoster alipwe.
 
sawa ila kwa magamba haiko hivyo
Duniani mimi nimeona wengi ila Ninyi Pro-CHADEMA ni wa peke yenu na ni nyinyi tu pekee. Hongera zenu. Yaani ninyi mmefikia mpaka hatua ya kubishana na sayansi.

Ukiambiwa ukifunga breki ghafla utatokea dirishani unabisha kisa eti wewe chadema, ukiambiwa ukitaka gia iingie kanyaga cluch kwanza unabisha eti wewe chadema,ukiambia ukiingiza data kubwa kwenye web;inabidi uzuie kwanza unabisha eti wewe chadema.

Basi hongera zenu pro-chadema.Ninyi mtafikia hatua wakati wenzenu wanaendesha kushoto kushoto,ninyi mnachomekea kulia kisa wapinzani. Acheni hizo mnahafedhehesha waasisi wa chama.
 
Kwahiyo tusiseme kwamba Website ya Wiraza ipo down kwa muda sasa? tusiulize kulikoni?
Tunyamaze kwasababu tukiuliza mtakuja kusema kazi yetu kulalamika?

Hiyo akili ya wapi mkuu, kwamba website ya wizara ipo down na tunajaribu kuuliza whats the issue wewe unakuja na jibu la kizembe na unataka tulichukulie kuwa jibu la kitaalamu na kisayansi?

Haya, hebu tuambie kwa nini Education policy iliondolewa kwenye Website ya wizara tangu mwanzoni mwa 2007?
Tupe jibu la kisayansi basi.
 

Kaka hili ni tatizo la Hosting sio la malipo..Domain inaexpire 24.07.2013..kama ukitaka katembelee hapa.. http://196.216.162.85/index.php/domains/whoiswhodetails
 

Tuna mifano ya website nyingi ambazo zikiwa zimesitishwa kwa hiari kuna meseji inayokuwa displayed kumbuka wakati wa marekebisho ya website ya Mwananchi.......................na nyinginezo tunaambiwa iko underconstructio. Sasa wewe kama uko ndani tueleze inakuwaje
 
Kaka hili ni tatizo la Hosting sio la malipo..Domain inaexpire 24.07.2013..kama ukitaka katembelee hapa.. http://196.216.162.85/index.php/domains/whoiswhodetails

link uliyotupa haioneshi details unazosema saidia zaidi
 
link uliyotupa haioneshi details unazosema saidia zaidi

Kaka huu ni upande wa usajiri..registrations..Home - tzNIC then ukiweka domain hiyi hapo juu itasema taken, then ukifungua details ndo utaona lini inabidi iwe expired..Ila kwa Upande wa HOSTING inawezekana kabisa Wizara haijalipia huduma...
 
kama haijapita wiki basi inakarbia....sasa mtwambie ni data gani hzo znachukua mda mrefu namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…