Kama ilivyokuwa kwa website ya(dullonet) (
Netfirms | This account has been suspended) ilivyofungiwa na netfirms ndivyo ilivyo hata sasa kwa tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tanzania imezuiliwa na haifunguki sababu kuu ni hii
Kwa kuprove bonyeza hapa :
Suspended Domain
Kwa haraka haraka sababu hiyo kwenye blue sio ya kweli maana ingekuwa hivyo kama wangekuwa wamepost matokeo ya Form IV kitu ambacho bado. Ukweli ni kwamba wame run out of resources. Hii ina maana Web host kawakatia huduma. Wizara haina fedha hata ya kulipia website.
Imani yangu wakijiona hapa watashtuka. Pia inawezekana imefungwa ili wadau wasiweze kupata mtaala wa Elimu ambao Kawambwa aligoma kumpatia ndugu Mbatia. Hii nchi ni ya aina yake.