Tovuti ya Wizara ya Elimu yafungiwa... Kisa hawalipi gharama za uendeshaji!

Tovuti ya Wizara ya Elimu yafungiwa... Kisa hawalipi gharama za uendeshaji!

inaandika hivi:

This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources.

hapo inawezekana wame exceed bandwidth, webspace quota au database limit ndo maana imekuwa suspended, sikutegemea tovuti ya serikali kama hii wanashindwa kununua package yenye unlimited kila kitu, wanashindwa na hata watu wa kawaida
 
Halafu hii website huwa haiwi updated.Ilikuwa ina info za october lakini eti ni new!
 
ni kweli wamefilisika,hakuna cha kusema kuna data zinaingizwa.ina shangaza xana na inauzunisha kwa nchi ya Tz.
:target:
 
Nimeingia kupitia Google, ila sina imani na link (216.15.191.173/) husika. Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kimekufa, kwani hakuna kipya toka 2011/2012. Halafu wanaziita "NEW".
 
labda wamechoka kuona kila siku walimu wanaosubiri ajira wakifungua website yao. jamani tumechoka kusubiri, rais ameshatangazia umma ajira 27 elfu za walimu wataajiriwa mwezi wa 1.2013, sasa mwez w 2. kulikoni?
 
Duniani mimi nimeona wengi ila Ninyi Pro-CHADEMA ni wa peke yenu na ni nyinyi tu pekee. Hongera zenu. Yaani ninyi mmefikia mpaka hatua ya kubishana na sayansi.

Ukiambiwa ukifunga breki ghafla utatokea dirishani unabisha kisa eti wewe chadema, ukiambiwa ukitaka gia iingie kanyaga cluch kwanza unabisha eti wewe chadema,ukiambia ukiingiza data kubwa kwenye web;inabidi uzuie kwanza unabisha eti wewe chadema.

Basi hongera zenu pro-chadema.Ninyi mtafikia hatua wakati wenzenu wanaendesha kushoto kushoto,ninyi mnachomekea kulia kisa wapinzani. Acheni hizo mnahafedhehesha waasisi wa chama.

Hii ni type ya Kigwangala aka Dr. Kitumbua, mbunge wa mtera na Lameck Nchemba ambao kwao usomi na weledi ni kuporomosha matusi badala ya kujenga hoja. Hapa hoja ni kuwa website ya wizara ya elimu imefungiwa kwa sababu serikali ya JMT inayoongozwa na CCM imeshindwa kulipia ada ya host. Sasa hayo ya Pro-CHADEMA yanaingiaje hapa?
 
Ingekuwa nchi za wenzetu wizara ya elim yote washapigwa bastola! Mm wanankera sana! Au ndo wamechaguana vilaza tupu wakawa pale!
Naomba radhi jaman kwa lugha nliyotumia! Ila kiukwel wizara ya elim ndo inaongoza kuwa na vilaza kuliko sekta yyte dunian! Yan mulugo na kawamba mhhh!
 
Kama ilivyokuwa kwa website ya(dullonet) (Netfirms | This account has been suspended) ilivyofungiwa na netfirms ndivyo ilivyo hata sasa kwa tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tanzania imezuiliwa na haifunguki sababu kuu ni hii
Kwa kuprove bonyeza hapa : Suspended Domain

Kwa haraka haraka sababu hiyo kwenye blue sio ya kweli maana ingekuwa hivyo kama wangekuwa wamepost matokeo ya Form IV kitu ambacho bado. Ukweli ni kwamba wame run out of resources. Hii ina maana Web host kawakatia huduma. Wizara haina fedha hata ya kulipia website.

Imani yangu wakijiona hapa watashtuka. Pia inawezekana imefungwa ili wadau wasiweze kupata mtaala wa Elimu ambao Kawambwa aligoma kumpatia ndugu Mbatia. Hii nchi ni ya aina yake.



mkuu kumbe hii kitu bado?
 
Back
Top Bottom