Tovuti ya Yanga imekufa

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
Viongozi wa Yanga mbona mnashindwa kuupdate tovuti ya klabu.

Vijana wengi wanaweza kufanya hiyo kazi kwa weledi wa hali ya juu, muajirini kijana afanye kazi hiyo!
 
Tangu ameondoka Kizuguto hiyo website hakuna update yeyote mpya
 
Nani aajiri labda kujitolea bure..hakuna fedha ya kumlipa...km wameshindwa kuwa na uwanja walau wa mazoezi tu..hivyo vingine vitawezekana vipi?
 
Tangu ameondoka Kizuguto hiyo website hakuna update yeyote mpya

Kizuguto alikuwa poa sana, naona makeke yake yamehamia TFF, wanajitahidi sana upande wa tovuti na social media!
 
Viongozi wa Yanga mbona mnashindwa kuupdate tovuti ya klabu.

Vijana wengi wanaweza kufanya hiyo kazi kwa weledi wa hali ya juu, muajirini kijana afanye kazi hiyo!

Sasa Wataiweka Wapi Hapo Na Hata Hiyo Mitambo Itawekwa Wapi Hapo Ukizingatia Mvua Zingine Kubwa Zinakuja Na Jengo Safari Hii Linaondoka?
 
Tangu Muro aajiriwe kila kitu kinakwenda kombo,Kizuguto alikuwa bora!
 
Tangu Muro aajiriwe kila kitu kinakwenda kombo,Kizuguto alikuwa bora!

Nadhani wana vipaumbele tofauti mmoja kazi yake kuongea kupitia waandishi wa habari kuhusiana na habari za timu lakini hasa hisia zake au kubishana kwenye makundi ya mashabiki kwakati mwingine alikuwa kazi yake ni kuuhabarisha umma kwa taarifa za timu kwa kutumia njia zote za mawasiliano
 
Timu ya Kimatifa yenye Website ya mchangani.
 
Timu ya Kimatifa yenye Website ya mchangani.

Na ninyi timu ya mchangani na website ya kimataifa mna nini cha kujivunia? Tupe address ya website yenu ya kisasa kama ilivyodaiwa na Evans Aveva.
 
Na ninyi timu ya mchangani na website ya kimataifa mna nini cha kujivunia? Tupe address ya website yenu ya kisasa kama ilivyodaiwa na Evans Aveva.

Kuna vitu vinamaliziwa.. Soon itakua hewani.. vuteni subira.
 
Namkumbuka sana Kizuguto kwenye hili la Website na alikuwa afisa habari tu huyu Jerry Muro aliomba cheo chake kiwe Mkuu wa Idara ya Mawasiliano kazi yake imekuwa kupiga porojo tu na mwenzie yule wa Mikia anaitwa Manara kwa ufupi aliyeua website ya Yanga ni Jerry Muro mkuu wa mawasiliano wa saa 2 kasoro robo.
 
Club yenye miaka 80 haina mfumo maalumu wa kuendesha soka kisasa...
Aibu kubwa sana...
 
Nini maana ya kuzindua? Kiherehere tu kama cha mabinti wanaojipendekeza kupata UKIMWI (JK, 2011).

Hivi ujawahi kuona uzinduzi wa ujenzi wa kitu?.. Mf. wilayani kwetu miezi 3 iliyopita JK alikuja kuzindua ujenzi wa daraja na akaweka jiwe la msingi.. Pia mara kibao tunamuona Magufuli akizindua ujenzi wa barabara.. na hizo project zikikamilika tunategemea watakuja tena kukata utepe kuruhusu kuuanza kutumika.. Mkuu umeniangusha.

".. nilidhani wewe ni Great Thinker kumbe Great Sinker." - Makoye Matale akimwambia sembo baada ya kutofautiana kauli, 2014.
 
Last edited by a moderator:

Uwiii!!!!!!!!!!!! Huyo ndiyo sembo!

Mkuu siku hizi niko bize sana na mambo ya mwajiri, sitaki kukurushia madongo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…