Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu ameondoka Kizuguto hiyo website hakuna update yeyote mpya
Viongozi wa Yanga mbona mnashindwa kuupdate tovuti ya klabu.
Vijana wengi wanaweza kufanya hiyo kazi kwa weledi wa hali ya juu, muajirini kijana afanye kazi hiyo!
Tangu Muro aajiriwe kila kitu kinakwenda kombo,Kizuguto alikuwa bora!
Hivi website ya Simba inaitwaje naombeni Link
Timu ya Kimatifa yenye Website ya mchangani.
Timu ya Kimatifa yenye Website ya mchangani.
Na ninyi timu ya mchangani na website ya kimataifa mna nini cha kujivunia? Tupe address ya website yenu ya kisasa kama ilivyodaiwa na Evans Aveva.
Kuna vitu vinamaliziwa.. Soon itakua hewani.. vuteni subira.
Nini maana ya kuzindua? Kiherehere tu kama cha mabinti wanaojipendekeza kupata UKIMWI (JK, 2011).
Hivi ujawahi kuona uzinduzi wa ujenzi wa kitu?.. Mf. wilayani kwetu miezi 3 iliyopita JK alikuja kuzindua ujenzi wa daraja na akaweka jiwe la msingi.. Pia mara kibao tunamuona Magufuli akizindua ujenzi wa barabara.. na hizo project zikikamilika tunategemea watakuja tena kukata utepe kuruhusu kuuanza kutumika.. Mkuu umeniangusha.
".. nilidhani wewe ni Great Thinker kumbe Great Sinker." - Makoye Matale akimwambia sembo baada ya kutofautiana kauli, 2014.