Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kuzungumza lugha za asili pia kupo Tanzania. Hakuna cha pingli nywee wala pangla nywii, ukabila umekithiri huko kwenyu. Kwa nini unajifanya hukubali?Sijaelewa, ukabila ni kuzungumza lugha zetu asili?