Toxic Peanut Butter Alert: “Sumu Kwenye Mkate?” Serikali Yatoa Amri ya Dharura

Toxic Peanut Butter Alert: “Sumu Kwenye Mkate?” Serikali Yatoa Amri ya Dharura

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wakenya mko rada?

The Ministry of Health imechukua hatua kali baada ya kubaini baadhi ya peanut butter brands zina aflatoxin levels hatari sana way above the safe limit ya 15ppb.

Brands zilizoathirika ni Nutie, Kismat, Pannaj na Muleka. Imagine, Nutie batch moja ilipatikana na 934ppb hii ni zaidi ya mara 60 ya kiwango kinachoruhusiwa!

Kwa mujibu wa Patrick Amoth, bidhaa zote ziko withdrawn from shelves, na authorities wameambiwa wazikamate na kuziharibu immediately.

Serikali pia imesimamisha production kwa viwanda husika hadi wafix issue ya contamination.

Health risk ni kubwa: Ukikula hizi products unaweza pata aflatoxicosis condition mbaya inaweza cause liver failure ama hata kifo.

Serikali sasa inaongeza surveillance sokoni na hata kwa other food products kuhakikisha hakuna sumu inaendelea kuingia kwa chakula cha wananchi.

Jamii Forums angle: Hii ni serious wake-up call. Tuko safe kweli na chakula tunanunua kila siku?

Check products zako vizuri ukiona hizi brands, acha kutumia for now. Better safe than sorry

---------------
The Ministry of Health said laboratory analysis revealed that batches of Nutie, Kismat, Pannaj, and Muleka peanut butter contained aflatoxin levels above the limits set under Kenyan food safety standards.

1774943908721.png



Source: Nairobi wire & The Kenya Times
 
Back
Top Bottom