Toyo 150 vs Boxer bm 150

hzo model mpya sijui ni za wap maana nimegoogle kweny website yao sijaziona ni za kijinga sana juz nimetoka ulizia nikaambiwa mil 2.3 kwanza tair lake la kijinga kwel
 
Boxer watu wengi hawazipendi kwa sababu huwezi kubebea mizigo mizito km ilivo Toyo. Toyo inavumilia mizigo mizito, lakini boxer ni za luxury za town, na safari coz ni nyepesi haili mafuta na ina spidi nzuri.
vp kuhusu safari ndefu
 
teh baskel ninayo ww momentum sport gharama sana kuitunza kuliko toyo kama utaweka spea yake kabisa
 
mkuu boxer haisimami kwa toyo wanaokwambia habari za boxer naweza sema wanafata ushabiki tu nunua toyo na service yake fanya hata kwa mwezi mara moja ambayo labda yaweza kuwa ni oil au vi indicator kama ulivivunja basi.Toyo ina nguvu sana na na inahimili mizigo mizito bila kuteteleka,unaendesha ukiwa umerelax hata kwa umbali mrefu huumii mgongo wala kiuno wala mabega kwa ajiri ya kuinama kuifata staring .Nakushauri nunua Toyo
 
juz nimeulizia kile kidude hakijashuka stil ni elf 70 daa naona bora toyo sasa coz nackia ata ukizembea service elf 70 unamaliza kuliko boxer ,
 
wakuu kuna pikipiki zinaitwa Hero, nazo zimetengenezwa na mhindi, vipi mnazionaje kiubora na mengineyo kwa waliowahi kuitumia maana nataka niinunue mwisho wa mwezi huu
 
wakuu kuna pikipiki zinaitwa Hero, nazo zimetengenezwa na mhindi, vipi mnazionaje kiubora na mengineyo kwa waliowahi kuitumia maana nataka niinunue mwisho wa mwezi huu
vi hero ni vzur pia mafuta inatumia vzur pia ata ubora nahc cz ni ya india sema spea cjajua ata
 
rafik ang jiran yao kaibiwa mpyaaa ina one month only had nimeingia upepo
 
Ee bwana naomba uzoefu zaidi bp ukilinganisha boxer na honda?
 
Ee bwana nipe uzoefu zaidi kuhusu honda Ace? Napata ugumu wa kununua kati ya boxer na honda?
 
..ebu tupieni picha ya boxer feck na original huku plz tuweze kuzitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…