Toyota allion inauzwa

Toyota allion inauzwa

nataka kujua

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
31
Reaction score
5
nina uza gari hiyo cc 1490 rangi silver kilometa iliyo tembea 49 elfu imesajiliwa mwz huu ikitikea japan ni automatic bei mil 10.5 ipo arusha pc mita weka badae
 
Haya tunasubiri picha,ila next time tafuta picha kwanza ndio uje,JF sio train au ndege kwamba itakuwacha.
 
hiyo itakuwa ya wizi tuma Registration number yake tuangalie kwenye SYSTEM ya INTERPOL kujua kama si ya wizi
 
Back
Top Bottom