Toyota Allion Vs Toyota Premio ZZT 1.8L

Mkuu chukua hioa ya 2005 mimi nazikubali haswa zile zenye Fuel Economy Display..ie 9.8km/l zinakuonesha umbali unaoweza kwenda etc..
 
Nimewahi kumiliki allion 2014-2016, ni gari zuri sana na ulaji wake wa mafuta ni safi sana. Na kuna mtu anaongelea kuhusu kuuza, allion inauzika kirahisi sana maana mimi niliuza same day niliyotaka kuuza na kwa bei nzuri tu.
Pia ni gari gumu sana na rahisi kufanya service kuliko hata passo. Service ya passo ghali kuliko allion
 

Nashukuru sana mkuu wa ushauri,
Nilishaufanyia kazi
 
Mkuu ni vizuri ungetuambia Lita inaenda km ngap,
 
Mrejesho tafadhali uliagiza ipi.

Allion ni gari poa sana japo spare zake na Premio hazipishani gharama.
 
Sema Allion watu hawaipendi kama Premio japo ni gari moja tu kwa maoni yangu with the same interiors finish! Allion ni nyeusi ndani while premio ni rangi ya mbao mbao
Gari nyeusi ndani naipenda sana sana sana!
Siyo magari madogo tu, Hata truck ambayo ni nyeusi ndani inanibariki sana..
 
Hebu tueleweshe kidogo mkuu!

Kwamba filters za passo pamoja na oil ni expensive kuliko za allion?
 
Mrejesho tafadhali uliagiza ipi.

Allion ni gari poa sana japo spare zake na Premio hazipishani gharama.
Ni same car with different body styling tu! Zote zina DNA ya Corolla sema ni corolla zenye long wheel base, option ya engine kubwa tu na cosmetics.

Ukiangalia interiors za Premio, Allion, RunX, Allex na Corolla X utagundua ni almost same car with different body styling tu na engine setups. Ndio maana Toyota gari zake ni rahisi sana ku maintain sababu ya interchangable parts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…