Mkuu nashukuru sana kwa uzoefu uliotoa, ingawa ningetamani kujua utofauti wa Alphard V na Alphard G kama unafahamu ili nifanye maamuzi sahihi.hiyo gari ya kibabe sana uwezi fananisha na kina noah, engine iko poa sana nguvu ya kutosha pia sunspension iko vyema sana, mafuta ni kama 12km /l highway na mjini ni around 9.5-10km / L
Ni gari nzuri sana.shida yake zina vibrate sana km mounting zinachomokamy favourite japanese family car..
hizi zipo 3 generation sasa sijui unaongelea ipi...
Asante sana mkuu umenifungua macho kwa mengi ninaihitaji sana hiyo gari ila sikua naijua kwa undani that's why nikasema nachojua zipo zilizoandikwa Alphard G na Alphard V sijui zaidi.my favourite japanese family car..
hizi zipo 3 generation sasa sijui unaongelea ipi...
That's a new expirience asante,ina vibrate ukuwa kwenye speed sana au hata speed ya kawaida tuu?nisameheni kwa kuwachosha but naihitaji sana sana soon kwenye shughuli zangu.Ni gari nzuri sana.shida yake zina vibrate sana km mounting zinachomoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu umenifungua macho kwa mengi ninaihitaji sana hiyo gari ila sikua naijua kwa undani that's why nikasema nachojua zipo zilizoandikwa Alphard G na Alphard V sijui zaidi...
Hiyo bei 2002-2008ambayo umesema ni 15-20m ni kwa kuchukua kwa mtu,au show room maana mie ningepata hata kwa mtu ikiwa nzima poa tuu najua kuagiza ni gharama zaidi na mfuko wangu haufiki huko.
nimetumia ila sijawahi experience hilo tatizo labda mkuu hapo atatusaidiaThat's a new expirience asante,ina vibrate ukuwa kwenye speed sana au hata speed ya kawaida tuu?nisameheni kwa kuwachosha but naihitaji sana sana soon kwenye shughuli zangu.
Mbona hiyo unayoweka huwa haifunguki unatangaza nini au unamaanisha MTU aende wapi
Mbona umetaja v na g tu m huijui au?Mkuu nashukuru sana kwa uzoefu uliotoa..ingawa ningetamani kujua utofauti wa Alphard V na Alphard G kama unafahamu ili nifanye maamuzi sahihi.
Kuagiza sio gharama mkuu,ni very cheap kama tu utasubiri kwa siku 45,bei yake inaanzia 15.6 mpaka 16.7 check me pm for more info.Asante sana mkuu umenifungua macho kwa mengi ninaihitaji sana hiyo gari ila sikua naijua kwa undani that's why nikasema nachojua zipo zilizoandikwa Alphard G na Alphard V sijui zaidi...
Hiyo bei 2002-2008ambayo umesema ni 15-20m ni kwa kuchukua kwa mtu,au show room maana mie ningepata hata kwa mtu ikiwa nzima poa tuu najua kuagiza ni gharama zaidi na mfuko wangu haufiki huko.
Kuwa jasiri, VW Touran 2006.Naitamani sana kwaajili ya familia yangu kwenda kanisani na kurudi,Mungu nimwema nitaipata tu