Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hiyo show inafanana na mnyama mmoja simkumbukiNdugu wadau naomba kwa wale wenye uelewa juu ya aina hii ya magari, ubora wake, matumizi ya mafuta, na chochote kizuri kuhusiana na magari haya.
Pia naomba kujua mapungufu yake kwa wale wenye uzoefu nayo.
Je, kuna utofauti gani kati ya Toyota alphard "V" na Alphard "G" ingawa kwa macho huwa naona kama G ipo juu kidogo but wazoefu nadhani watanisaidia.
Natanguliza shukrani.
NB: hata kama mtu anaiuza ningependa kujua bei na taarifa zake nyingine muhimu.
View attachment 1657553
Toyota Alphard