Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

supra ilikuwa na signature engine ya Inline 6 ...

na toyota hatengenezi tena Inline 6 amehamia kwenye V configuration

sasa wakawa wanataka kuiacha supra iendelee na engine ya Inline 6 ndio akaingia mkataba nq Bimmer since bimmer bado wanatengeneza Inline 6 engines

ila wamebugi sana...
 
Umeeleza vizuri sana mkuu,uwe unaweka nyuzi kama hizi kwa mgari mengine...
 
Anhaa kwenda na kurudi wese 30,000 hapo naona ipo sawa...hio uliokua nayo wewe ni zile SH5? Zilizoanza kutengenezwa 2008? Mimi Naitaka kama hii halafu niinyanyue kama hivi mkuu
Kwa hizo mods hapo juu,mbio sahau mzee baba.
 
huyo dogo Jason ni shida, wanamuitaka magic hands...anateleza na clutch na gear kama maji 🤣🤣🤣
 
Mpaka 2.0m unapata
 
so ilikuwa inaweza kufika mpaka speed 320? ilikuaje ukapata ajali ulikuwa speed sana nini?
 
Kweli kabisa. 1G ni smooth tu vile ni inline 6. Ila 3S ina nguvu zaidi. Hizo turbocharged zinafaa saana kama unaendesha gari for fun. Ni umasikini tu unatusumbua, ila kuendesha gari lenye nguvu kuna raha yake aise
nataka nichukue hiyo tezza yenye cc 3000 .I guess itakuwa na nguvu balaa
 
gari yenye power raha sana mkuu... japo watu wanasema AWD ndio mpango mzima ila mimi kwa gari yenye power na prefer sana reel wheel drive asee ukikanyaga unaifeel kabisa power inayota matairi ya nyuma kusukuma gari
altezza ipi unaikubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…