TOYOTA AU NISSAN

TOYOTA AU NISSAN

babkaju3

Senior Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
118
Reaction score
94
Habari wana jamii nataka kufanya biashara ya daladala katika mji huu wa dar nilikuwa naomba ushauri wenu ipi gari bora kwa kazi hii kati ya NISSAN CIVILIAN na TOYOTA COASTER...asanteni nasubir ushauri wenu
 
Kwa dar coaster ndo kwnyewe ila kwa Arusha Nissan civillian HAIKATAI.
 
Back
Top Bottom