Habari wana jamii nataka kufanya biashara ya daladala katika mji huu wa dar nilikuwa naomba ushauri wenu ipi gari bora kwa kazi hii kati ya NISSAN CIVILIAN na TOYOTA COASTER...asanteni nasubir ushauri wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.