babkaju3 Senior Member Joined Mar 9, 2015 Posts 118 Reaction score 94 Jun 29, 2019 #1 Habari wana jamii nataka kufanya biashara ya daladala katika mji huu wa dar nilikuwa naomba ushauri wenu ipi gari bora kwa kazi hii kati ya NISSAN CIVILIAN na TOYOTA COASTER...asanteni nasubir ushauri wenu
Habari wana jamii nataka kufanya biashara ya daladala katika mji huu wa dar nilikuwa naomba ushauri wenu ipi gari bora kwa kazi hii kati ya NISSAN CIVILIAN na TOYOTA COASTER...asanteni nasubir ushauri wenu
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Jun 29, 2019 #2 Kwa dar coaster ndo kwnyewe ila kwa Arusha Nissan civillian HAIKATAI.