Toyota Audi A4

Toyota Audi A4

Kuna mtu fulani alikuwa na hiyo gari ni nzuri sana sana ila tatizo likaja kusumbua gearbox yani alitafuta enzi hizo mwanza nzima hakufanikiwa mwishoni aliishia kuipaki ikawa kama pambo sasa sijajua kama ilikuja kutengemaa na kurudi barabarani.Ila kwa kifupi spea zake ni shida kuzipata
 
Kuna post pia niliisoma jana humu ndani inahusisha gari inaitwa Jaguar Range Rover,sijajua kama hii kitu ipo au mimi ndio sielewi?
Mkuu...

Tata Motors walinunua Land Rover na Jaguar Cars.

Hivyo kuanzisha kampuni moja inayoitwa Jaguar Land Rover.

Ambayo ina division mbili... Lakini hakuna gari la pamoja.

Jaguar inazalisha magari yake na Land Rover magari yake.
 
Hizi nasikia spea zake zinasumbua sana, lakini inaonekana ni gari nzuri sana
 
Hizi nasikia spea zake zinasumbua sana, lakini inaonekana ni gari nzuri sana
Magari ya gharama sana na yakitajiri vilevile,,,,usiogope kununua kiss spare,ukiagiza utapata tu
 
A4 ni nzuri sana sijajua uimara wake i mean kudumu tena upate A4 ya diesel cc 2000 mafuta utafurahi ukiwa na spid 80 gia ya saba mafuta ni chini ya lita 5 kwa 100km ...spid 120 ndo 5L/100km naikubali sana
 
Hii gari ni nzuri sana new model imekaa kimbelembele ila usiipeleke mashambani hilo ndo sharti la kwanza kesho tu unapaki.
 
Gari nzuri sana hasa model mpya. Road safety na stability ziko vizuri. Spares utaagiza hata nje
 
Back
Top Bottom