Will Billy
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 300
- 378
Mkuu, tafiti zinaonyesha Auris ina common problems ambazo ni
Engine kula sana Oil
Milango huwa inatoa creaking noise
Siti za mbele huanza kuisha mapema na pia
Lack of power na pia moshi mweusi,,,,
Utafiti uliofanywa kwa watumiaji kutoka carsurvey.com
Unaielezeaje Hii??
Tatizo ni ground clearance ndogo na taili zipo ndani hasa za mbeleSikuhizi kuna Toyota rumion hizi gari naona ndiyo habari ya mjini kuanzia muonekano wake, engine ni 1NZ cc 1490....kuna jamaa Yangu ameuza IST new model na amenunua rumionView attachment 1369648
Muundo kama mkate wa boflo, hapana kwa kweliSikuhizi kuna Toyota rumion hizi gari naona ndiyo habari ya mjini kuanzia muonekano wake, engine ni 1NZ cc 1490....kuna jamaa Yangu ameuza IST new model na amenunua rumionView attachment 1369648
Gari iko kama kiatu..Muundo kama mkate wa boflo, hapana kwa kweli