Toyota Auris ni moja kati ya gari ndogo kali sana

Toyota Auris ni moja kati ya gari ndogo kali sana

Will Billy

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
300
Reaction score
378
Hii gari iko vizuri kwa kila kitu
- Good fuel consumption
- Comfortability
- Speed
- Muonekano
- Price (ina range kati ya 12.5 hadi 14)

Gari unique sana (japo inashare spare parts na baadhi ya models za Toyota kama Allex na Runx)
I recommend this car kama una plan ya kununua gari ndogo iliyokuwa poa

1582696685113.png
1582696702917.png
 
Mkuu, tafiti zinaonyesha Auris ina common problems ambazo ni

Engine kula sana Oil
Milango huwa inatoa creaking noise
Siti za mbele huanza kuisha mapema na pia
Lack of power na pia moshi mweusi,,,,

Utafiti uliofanywa kwa watumiaji kutoka carsurvey.com

Unaielezeaje Hii??
 
oooh ila mzee confortability, practicability, ride quality na urahisi wakati inaendesha hili garii....mmmmmmmh mmmhhhh, ni tamu kishenziiii
 
Mkuu, tafiti zinaonyesha Auris ina common problems ambazo ni

Engine kula sana Oil
Milango huwa inatoa creaking noise
Siti za mbele huanza kuisha mapema na pia
Lack of power na pia moshi mweusi,,,,

Utafiti uliofanywa kwa watumiaji kutoka carsurvey.com

Unaielezeaje Hii??

Mkuu vitu vyote ulivyotaja hapo juu kwa upande wangu sijawahi kuviexperience gari inakaribia mwaka sasa,,kwenye power iko vizuri kupita maelezo,,seats bado kama mpya tuu,,kelele kwenye milango hakuna,moshi mweusi hakuna kabisaaaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom