uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
- #21
Unazingua mzeeKutoka Mlandizi mpaka Kazulamimba Kigoma unatumia mafuta ya milioni 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua mzeeKutoka Mlandizi mpaka Kazulamimba Kigoma unatumia mafuta ya milioni 4
Tuzungumze mkuu pmNahitaji hii gari.
SawaTuzungumze mkuu pm
Umefunga pmSawa
Hahahahaha jini hiloNaomuona mke wa kikatoliki aking'ang'ania talaka
Kiufupi brevis ni jini haliuziki km ndoa ya kikatoliki ukifunga nayo mpaka kifo
Daaah jamaa yangu alinunua hii kitu hana hamu na gari tenaaa
Jini plus plus aliuza mil 1.8 kwa mbinde alimuuzia masai moja wa ngorongoro hukooo ndani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkata kambaJini
Hehee jamani
2m kasoro, si bora angebaki nalo? Au mimi nawazaje!!
Bora angebaki nalo kama yupo dar ,mafuta yanampiga chenga,unalifunga mfumo wa kutumia gas.ukijaza mtungi wa elfu 60 sio haba ,unatoboa wikiHehee jamani
2m kasoro, si bora angebaki nalo? Au mimi nawazaje!!
Mtu unawezaje kununua gari ukalalamikia mafuta.Hehee jamani
2m kasoro, si bora angebaki nalo? Au mimi nawazaje!!
HahaMtu unawezaje kununua gari ukalalamikia mafuta.
Mkasa wangu niliacha Toyota Cresta Morocco pale,na toka hapo ikapigwa winchi garage nikaiuza hukohuko
hii chombo yawataka mafundiNaomuona mke wa kikatoliki aking'ang'ania talaka
Kiufupi brevis ni jini haliuziki km ndoa ya kikatoliki ukifunga nayo mpaka kifo