Car4Sale Toyota Brevis for sale

Sijui kiongozi kama unataka gari njoo inbox gari hiko Bukoba mjini Kashai na siuzii njaa, nataka niwabariki wadogo zangu nao watembee wakiwa wamekaa
Naam ndivyo biashara za Kihaya zilivyo, yaani unauza lakini hakuna kubembeleza mteja🤣🤣🤣🤣
Una njaa lakini una pretend huna njaaa😂😂

Ofcourse una njaa😂😂 sema Uhaya unakusaliti 🤣

Huuzii njaa, nani aliomba kubarikiwa na wewe?
Umeambiwa magari yameadimika?

Kama huuzii njaa si uliache likae kwako hadi lichakae?🤣🤣🤣🤣
 
Muha bana, yaani afanye jambo bila kutambulika hulka zake ni ngumu sana.
Hilo neno NJAA sioni sababu ya kuliweka kwenye tangazo lako, biashara ikigoma usitafute mchawi!

Iwe kyoma waulile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…