Car4Sale Toyota Brevis for sale

Car4Sale Toyota Brevis for sale

Naam ndivyo biashara za Kihaya zilivyo, yaani unauza lakini hakuna kubembeleza mteja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una njaa lakini una pretend huna njaaa[emoji23][emoji23]

Ofcourse una njaa[emoji23][emoji23] sema Uhaya unakusaliti [emoji1787]

Huuzii njaa, nani aliomba kubarikiwa na wewe?
Umeambiwa magari yameadimika?

Kama huuzii njaa si uliache likae kwako hadi lichakae?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji110]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
BREVIS hizihizi nilizoanza kutumia 2011 au kuna toleo lingine(new model?).Kama ni hizihizi basi kupata Mteja wa Ml.9 hata wale jamaa tunaoambiwa ni washamba huwezi kumpata[emoji1787]
Bei ya Brevis ya mkononi tena namba D ukipata Mteja wa Ml 5 ushukuru sana
 
Hii gari sio ya wizi, mkiendelea kunikera napandisha bei
 
Brevis.. ni ndoa ya kikristo hiyo mpk kifo kiwatenganishe.

Kuna Mil 1.5 hapa nakutumia kwa Airtel Money. Gari nitaifata nikipata nafasi ya kuja.
 
Back
Top Bottom