Car4Sale Toyota Brevis for sale

[emoji110]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nauza gari langu mwenyewe kwa Tsh milioni 9.8!! Karibu pm kuweka picha sijui
Naona boksi nane za wazee hapo ukija na cheni hiyo ya kwako. Usione aibu kutamka wewe ni dalali tunaheshimu kazi za watu ingawa hamlipi kodi.
 
BREVIS hizihizi nilizoanza kutumia 2011 au kuna toleo lingine(new model?).Kama ni hizihizi basi kupata Mteja wa Ml.9 hata wale jamaa tunaoambiwa ni washamba huwezi kumpata[emoji1787]
Bei ya Brevis ya mkononi tena namba D ukipata Mteja wa Ml 5 ushukuru sana
 
Hii gari sio ya wizi, mkiendelea kunikera napandisha bei
 
Brevis.. ni ndoa ya kikristo hiyo mpk kifo kiwatenganishe.

Kuna Mil 1.5 hapa nakutumia kwa Airtel Money. Gari nitaifata nikipata nafasi ya kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…