kwa maneno yako tu inaonyesha brevis inakimbiwa sababu ya matunzo, big up wote brevis teambora mark x kuliko brevis!! hata kama pesa ya mafuta hainisumbui bado sioni haja ya kwenda kuitupa kwenye old brevis nikaacha mark x ambayo nayo inatumia mawese with better management na production yake still inaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
alie shift from brevis to mark x amekimbia matunzo?kwa maneno yako tu inaonyesha brevis inakimbiwa sababu ya matunzo, big up wote brevis team
[emoji23] [emoji23] [emoji115]Acha ushamba mwalimu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hivi zinauzwa million 5-6.... Ni post ya kujifariji tuu.... Ukitoka ubungo mpaka shekilango ushapishana kama 5 hivi... Uniform ya taifa[emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
Tusio na madevu tuendelee kutumia baby walker version ?Mkuu usiwajibu wanaokubeza wote wana vi starlet, vitz, spacio, ist. Unakuta dume limevimba na midevu kibao linatoka kwenye vitz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanaojadili wanamagari, sisi tuliozoea kupanda hiace mambo ya injini tutayajua wapi?Raha ya jamiiforum kila mtu anakuwa na ndinga lipokuja suala la magari, nafaham wapo ila sio wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndani kila mtu ana gari mkuu, [emoji6][emoji1][emoji1][emoji1]Hivi wote mliocomment mna magari?
Mkuu usiwajibu wanaokubeza wote wana vi starlet, vitz, spacio, ist. Unakuta dume limevimba na midevu kibao linatoka kwenye vitz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Itakua amejaribu kuliuza hili jini bila mafanikio kwa kukosa wateja akaamua ajifariji kwa kuliita gari la wanaume, wakati mie huku kitaa naona wamama watu wa makamo wanasukuma hizi ndinga.Matambo mengine bwana !! Brevis ni gari unayoweza nunua kwa salio la M Pesa. Haizidi 15m.
Kelele za nini?
Hivi wenya gari za 100m hadi 300m watasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhhhh yani maisha kitu cha ajabu sana mtu unamiliki ka brevis unapiga kelele kibao[emoji23] [emoji23] [emoji115]
Probably, Atakua mwalimu huyo.
kachukua kigari cha mkopo anakuja kuleta kelele humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la brevis ni bei yake haiendani na gharama zake za uendeshaji iko very cheap
so vijana tunaojichanga huku na huku miaka 3 kupata 12m ya usafiri ni ngumu kumanage huduma zake
kwa maisha yetu ya kibongo hayaa yoyote anaemiliki gari hata iwe paso na anadrive bila shida yoyote ni wakupewa heshima tu