Toyota Brevis na heshima zake

Naam mkuu Crown Majesta ina 4300 CC ya kuanzia 2009 ni kali sana inaamsha kama Land Cruiser V8 shida gari za Japan wanabania speed ni 180 tu
Hicho chombo kilitakiwa kuwa na speed 300, maana pulling yake ni balaa
 
Yote hayo ni ushuzi , iwe BMW,BENZi , VOX nk , tutengeneze ya kwetu watanzania , wa ulaya wanalinda masoko yao , sie ndio tunachekelea na kushabikia maendeleo ya wenzetu , sie linìi?
 
We muongo maelezo yako yenyewe yanakinzana
 
Hapa ni Afrika mkuu sio ulaya lazima twende sawa na hali yetu.
 
Japan labda hizi VX Gx lakini saloon car sina mpango. Ni kwa vile ni fibre tu. Sasa akiweka speed atawaua. Benzi ya jarumani ni vyuma Na Bari ngumu mwanzo mwisho
Na ametuteka kweli kweli mkuu
 
Kwa nini isitoe wakati unatumia pupa kuipata 230kph,kumbuka hiyo ilikua ya 240kph.
 
Ni kweli
 
Makosa makubwa. Brevis mafuta ya Tsh 10,000? Hiyo ni bajet ya Paso,Vits na IST. Angalau Tsh 25,000 na kuendelea,tena weka kwa wakati mmoja.
 
Wazazi tukiwatuma mpeleke vitu kwa bibi zenu kijijini ndo michezo yenu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…