Ila mkuu kuna magari ya mgermany yana engine kubwa lakini ulaji wake wa mafuta mdogo compared na magari haya ya brevis kutokana na uhybrid wake
Tezza inategemea kama una six cylinder kwann lisikunyonye damu ukiwa na four cl kawaida tuhahahhaaaaaaaa......
hv brevis ulaji wake wa mafuta sawa na jini alteza!!!!
Gari nzito means more fuel consumption, boring to driveHivyo unavyoita vyepesi ukifika speed 180km/hr kitapeperushwa kama kapelo inavyopeperushwa toka kichwani. Gari nzito ina maana yake, nayo ni 'STABILITY', hata uwe speed 240km/hr (kama ingekuwepo) mashine inanata na lami kama uko 50km/hr, very steady!
Tuareg kumbe inatafuna mafta hatari.....................Tafuta Tuareg kaka utaelewa maana halisi ya kula mafuta[emoji23][emoji23][emoji23] yale ni mashetani
Tuareg kumbe inatafuna mafta hatari.....................
Mimi siku nikiziokota nikaachana na toyota na vitoy nanunua range rover au BMW x6
Hapana hata siyo sababu inakuwa 6 cylinder cc ni zile zile na upana wa cylinder za 6 ni ndogo sana compared na za 4Tezza inategemea kama una six cylinder kwann lisikunyonye damu ukiwa na four cl kawaida tu
Aisee kwa V8 kula mafuta ni kawaida aisee hapo hakuna ujanja tu tusubiri technolojia ya tesla motors labdaTuarage ni v8 bos inakula wese kama jini labda ubahatishe ya diesel
Mkuu Kama unakwepa issue ya mafuta basi X6 hicho ni Choo cha mashoga.Tuareg kumbe inatafuna mafta hatari.....................
Mimi siku nikiziokota nikaachana na toyota na vitoy nanunua range rover au BMW x6
Mkuu Kama unakwepa issue ya mafuta basi X6 hicho ni Choo cha mashoga.
Hahaha mkuu nikiwa nimeimiliki basi mafuta kwangu hayatakuwa shida wakati huo kwa sasa napambana na hizi cc zisizozidi 2500 tuMkuu Kama unakwepa issue ya mafuta basi X6 hicho ni Choo cha mashoga.
Hahaaa JF raha sana ukiwa Na akilizi zako changanya na kuambiwaBrevis bado ni baby walker kubwa.
Mkuu sina hicho kitu ila nilikipata mahsli ili niende nacho mkoani.Tatizo watu watahisi umenunua serikalini kwa bei ya kuokota
wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawaKumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
Issue is, sijawahi ona zaidi ya 180km/hr kwenye hizi saloon za Toyota, wametubania tuMkuu sina hicho kitu ila nilikipata mahsli ili niende nacho mkoani.
Ni balaa!
Jamaa hapa wanaihusudu Brevis, lakini hiyo ni no contest mbele ya hii mi V8.
Kwa mchezo tu, mbele yangu niliona Brevis, at 140 ~150km/hr.
Akiona nakuja Brevis akaongeza mwendo hadi 160kmhr.
Nikampa 180km/hr naye akaongeza tukawa sambamba.
Hizo ni spidi kali, lakini mbuga inaruhusu.
Unaona mbelebhadi kilometa mbili, hakuna gari mbele.
Hapo ikabidi nionyeshe heshima ya ya V8.
Acceleration hadi 200~210km/hr ikatosha kumuacha Brevis.
TAHADHARI: huu mchezo ni hatari sana
Traction control baby..Brevis ni gari iliyotulia sana kwani muda wote inatumia TRC compared to baby walker ambazo ziko restless njiani
Brevis ilitengenezwa special kwa wateja wa Japan tu na ilikuwa hairuhusiwi kuuzwa nje ya Japan, sasa sijui ingefikaje ulayawewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa