Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Hivyo unavyoita vyepesi ukifika speed 180km/hr kitapeperushwa kama kapelo inavyopeperushwa toka kichwani. Gari nzito ina maana yake, nayo ni 'STABILITY', hata uwe speed 240km/hr (kama ingekuwepo) mashine inanata na lami kama uko 50km/hr, very steady!
Gari nzito means more fuel consumption, boring to drive
 
Tafuta Tuareg kaka utaelewa maana halisi ya kula mafuta[emoji23][emoji23][emoji23] yale ni mashetani
Tuareg kumbe inatafuna mafta hatari.....................
Mimi siku nikiziokota nikaachana na toyota na vitoy nanunua range rover au BMW x6
 
Tuareg kumbe inatafuna mafta hatari.....................
Mimi siku nikiziokota nikaachana na toyota na vitoy nanunua range rover au BMW x6
Mkuu Kama unakwepa issue ya mafuta basi X6 hicho ni Choo cha mashoga.
 
Mkuu Kama unakwepa issue ya mafuta basi X6 hicho ni Choo cha mashoga.
Hahaha mkuu nikiwa nimeimiliki basi mafuta kwangu hayatakuwa shida wakati huo kwa sasa napambana na hizi cc zisizozidi 2500 tu
 
Range, Audi, Bentley, Escarade
AUDI.jpg

RANGE.jpg

ESCALADE.jpg

PHANTOM.jpg
 
Tatizo watu watahisi umenunua serikalini kwa bei ya kuokota
Mkuu sina hicho kitu ila nilikipata mahsli ili niende nacho mkoani.
Ni balaa!
Jamaa hapa wanaihusudu Brevis, lakini hiyo ni no contest mbele ya hii mi V8.

Kwa mchezo tu, mbele yangu niliona Brevis, at 140 ~150km/hr.
Akiona nakuja Brevis akaongeza mwendo hadi 160kmhr.
Nikampa 180km/hr naye akaongeza tukawa sambamba.
Hizo ni spidi kali, lakini mbuga inaruhusu.
Unaona mbelebhadi kilometa mbili, hakuna gari mbele.

Hapo ikabidi nionyeshe heshima ya ya V8.
Acceleration hadi 200~210km/hr ikatosha kumuacha Brevis.
TAHADHARI: huu mchezo ni hatari sana
 
Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa
 
Mkuu sina hicho kitu ila nilikipata mahsli ili niende nacho mkoani.
Ni balaa!
Jamaa hapa wanaihusudu Brevis, lakini hiyo ni no contest mbele ya hii mi V8.

Kwa mchezo tu, mbele yangu niliona Brevis, at 140 ~150km/hr.
Akiona nakuja Brevis akaongeza mwendo hadi 160kmhr.
Nikampa 180km/hr naye akaongeza tukawa sambamba.
Hizo ni spidi kali, lakini mbuga inaruhusu.
Unaona mbelebhadi kilometa mbili, hakuna gari mbele.

Hapo ikabidi nionyeshe heshima ya ya V8.
Acceleration hadi 200~210km/hr ikatosha kumuacha Brevis.
TAHADHARI: huu mchezo ni hatari sana
Issue is, sijawahi ona zaidi ya 180km/hr kwenye hizi saloon za Toyota, wametubania tu
 
wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa
Brevis ilitengenezwa special kwa wateja wa Japan tu na ilikuwa hairuhusiwi kuuzwa nje ya Japan, sasa sijui ingefikaje ulaya
 
Back
Top Bottom