Toyota Camry 9th Generation (2025): Aisee Designer wa Toyota Aongezewe Mshahara!

Toyota Camry 9th Generation (2025): Aisee Designer wa Toyota Aongezewe Mshahara!

Hivi vyuma vikiingia hiyo 2030 kama used mswahili nijipatie na ukimwi sasa
Wakuu.

Kuna hii generation ya tisa ya Toyota Camry mpya, model code XV80, itakayoingia mzigoni mwakani (2025) aisee ina kila sifa za kua gari kali, kuanzia muonekano ndani na nje hadi performance yake.

View attachment 3094983
Kwa muonekano wa nje, inakuja kwa shape ya sedan tu, na mbele imechukua new generation ya Prius na Crown, ila chasis imebaki ya generation ya nyuma.

View attachment 3094984

Nyuma kuna LED tail lights zilizoingia hadi kwenye buti, na chini exhaust pipe zimefichwa kwa chini.

Kwa ndani chuma ipo classy sana. Kuna screen kubwa yenye Apple CarPlay na Android Auto, pia ina instrument cluster moja ya LCD tamu sana.

View attachment 3094985
View attachment 3094987
View attachment 3094990
Kwa upande wa engine, Kuna option ya hybrid au pure gasoline, zikija na engine ya 2.0L au 2.
 
Back
Top Bottom