Waungwana nilitaka kujua kwa wale wanaoagiza magari toka nje ni kampuni ipi inayoagiza coaster zenye engine ya 14B na garama zake za kuagiza mpaka inafika hapa nchini kwetu.
Naitaji kuyajua makampuni hayo wanatumia majina gani kwenye wave saiti ili niweze kuingia niangalie picha za hayo magari pia kama wana Ac ya Instargram.
Naomba mnisaidie jamani