Toyota Coaster yenye injini ya 14B

Toyota Coaster yenye injini ya 14B

slimshedy

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,049
Reaction score
1,012
Waungwana nilitaka kujua kwa wale wanaoagiza magari toka nje ni kampuni ipi inayoagiza coaster zenye engine ya 14B na garama zake za kuagiza mpaka inafika hapa nchini kwetu.

Naitaji kuyajua makampuni hayo wanatumia majina gani kwenye wave saiti ili niweze kuingia niangalie picha za hayo magari pia kama wana Ac ya Instargram.

Naomba mnisaidie jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa asilimia kubwa, mtandao unaohusika na kuaminiwa na wrngi kwenye nyanja ya uuzaji magari ni wa kampuni ya Be forward, unaitwa Www.beforward.jp

Watu wengi wa,ekua wakiagiza kwenye hii kampuni, hata hawa wa magari ya biashara kama wewe.

Kwa nimejaribu kucheck kwenye website yao, Toyota coaster yenye hizo sifa ulizotaja, naona walikua nayo moja tu.

But naona wana isuzu journey ile old model plus other coasters

Nimekuwekea hapa link unaweza check

Used 1989 TOYOTA COASTER DX/U-BB23 for Sale BF272060 - BE FORWARD
 
Back
Top Bottom