Toyota Crown Majesta second generation S180

Hilo linaku la safari tu[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa ma cc hayo alafu gari yenyewe iko chini namna hiyo!

Cc hizo zinafaa uwe na kitu kama hiyo landcruiser, popote inakupeleka.

Kagari ka chini namna hiyo kwangu isizidi cc 2000
 
V8? Ulimaanisha Landcruiser V8?...mkuu Landcruiser V8 uwe na 300M+ ba hiyo Majesta used sidhani kama inafika 50M
Majesta used ipi ? Zipo zinagonga hadi 100 million.. hapo bado kodi kodi za TRA
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa ma cc hayo alafu gari yenyewe iko chini namna hiyo!

Cc hizo zinafaa uwe na kitu kama hiyo landcruiser, popote inakupeleka.

Kagari ka chini namna hiyo kwangu isizidi cc 2000
Mie ukiweka hapo hiyo V8 LC 200 na Sedan.. nachukua sedan hakuna gari nizizo zipenda kama za juu kama hayo ma viieteee
 
Range cc 3000 kwa wese la 150,000/= unaingia Iringa town.
 
Range cc 3000 kwa wese la 150,000/= unaingia Iringa town.
Huwa nasema tu sawa.. hata mtu akinifunga kamba.. yake najua ni HSE V8 za petrol.. na mwendo pia wa jamaa sio wa fujo nyingi.. ila bado huwa nakuwa na mashaka.. ingawa nilisikiaga HSE V8 zinakata sana wese.. ila kwa 300,000 to morogoro ndio nilipata mashaka labada kama aliteleza kinyani
 
SUV inanipa confidence ya kwenda popote, wakati wowote.

Sedan itanifanya niwaze mengi kabla sijaanza safari.
Sure kuna maeneo Sedan inaumiza kichwa hata kama unapitaz inabidi upige mahesabu makali sana.. na kuna maeneo haziendi kabisa.. maana kuna sehemu hata SUV za kichovu hazikatishi
 
Hah haha haha haha Kuna ndinga zinatembea na ziko economy kuliko hilo jina Njunde
 
Huwa inatumia umeme zaidi mafuta sio kiivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…